Mbele

Mlisho wa karatasi ya Nyuma

Huweka karatasi.

Kishikilia karatasi

Hushikilia karatasi zilizoingizwa.

Kilinzi cha mlisho

Huzuia vitu kuingia kwenye kichapishi. Kila mara kinafaa kufunikwa.

Mwongozo wa ukingo

Huingiza karatasi moja kwa moja hadi ndani ya printa. Telezesha kwenye kingo za karatasi.

Kipenyo cha trei ya diski/kadi ya kitambulisho

Ingiza tena trei ya diski/kadi ya kitambulisho ndani ya sehemu ya juu ya trei ya towe.

Trei ya towe

Hushikilia karatasi zinazotolewa. Vuta kikuli na uisukume tena ndani ili kuihifadhi.

Trei ya diski/kadi ya kitambulisho

Unapochapisha kwenye diski au kadi ya kitambulisho, ondoa trei hii kutoka upande wa chini wa kichapishi, weka diski au kadi ya kitambulisho, na uingize kwenye kipenyo cha trei ya diski/kadi ya kitambulisho. Wakati huchapishi kwenye diski au kadi ya kitambulisho hifadhi trei hii upande wa chini wa kichapishi bila kuweka chochote juu yake.