Unaweza kusanidi mtandao wa Wi-Fi kiotomatiki kwa kubonyeza kitufe kwenye kipanga njia pasiwaya. Ikiwa masharti yafuatayo yatatimizwa, unaweza kusanidi kwa kutumia mbinu hii.
Kipanga njia pasiwaya kinatangamana na WPS (Usanidi wa Wi-Fi Uliolindwa).
Muunganisho wa sasa wa Wi-Fi ulitambuliwa kwa kubonyeza kitufe kwenye kipanga njia pasiwaya.
Ikiwa huwezi kupata kitufe au unasanidi kwa kutumia programu, tazama hati iliyotolewa kwa kipanga njia pasiwaya.
Shikilia chini kitufe cha [WPS] kwenye kipanmga njia pasiwaya hadi mwangaza wa usalama uwake.

Ikiwa hujui kilipo kitufe cha [WPS], au hakuna vitufe kwenye kipanga njia pasiwaya, tazama hati iliyotolewa yenye eneo la ufikiaji kwa maelezo.
Shikilia chini kitufe cha
kwenye kichapishi kwa angalau sekunde 5 hadi mwangaza wa
na
umwake mmoja baada ya mwingine.
Mpangilio wa muunganisho utaanza. Wakati muunganisho umeanzishwa, taa ya
huwaka.

Kichapishi kiko katika hali ya hitilafu ya muunganisho wakati taa ya
na taa ya
zinamweka kwa wakati mmoja. Baada ya kuondoa kosa la kichapishi kwa kubonyeza kitufe cha
kwenye kichapishi, washa tena kipanga njia pasiwaya, kiweke karibu na kichapishi na ujaribu tena. Iwapo haitafanya kazi, chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao na uangalie suluhisho.
