> Kutatua Matatizo > Ubora wa Uchapishaji Uko Chini > Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Ulinganishaji visivyo

Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Ulinganishaji visivyo

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

Mkao wa kichwa cha kuchapisha haujaoana.

Suluhisho

Linganisha kichwa cha kuchapisha.

  • Windows

    Bofya Chapisha Mpangilio wa Kichwa kwenye kichupo cha kienfdeshi cha kichapishi cha Utunzaji.

  • Mac OS

    Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishi. Bofya Chaguo na Usambazaji > Matumizi > Fungua Matumizi ya Kichapishi, na kisha bofya Print Head Alignment.

Mpangilo wa uchapishaji wa pande mbili umelemazwa.

Suluhisho

Ikiwa ubora wa chapisho hautaimarika hata baada ya kulinganisha kichwa, lemaza mpangilio wa uchapishaji wa pande mbili.

Wakati wa uchapishaji wa pande mbili (au kasi ya juu), kichwa cha kuchapisha huchapisha kikisogea pande zote mbili, na mistari wima huenda ikakosa kulingana. Kulemaza mipangilio huenda kukapunguza kasi ya uchapishaji lakini kukaimarisha ubora wa chapisho.

  • Windows

    Futa Uchapishaji katika mielekeo miwili iliyo kwenye kichupo cha kiendesha kichapishi cha Chaguo Zaidi.

  • Mac OS

    Teua Mapendeleo ya Mfumo kwenye menyu ya Apple > Vichapishaji na Vitambazaji (au Chapisha na Utambaze, Chapisha na Utume Faksi), na kisha uteue kichapishaji. Bofya Chaguo na Vifaa > Chaguo (au Kiendeshi). Teua Off kama mpangilio wa Uchapishaji katika mielekeo miwili.