Vyanzo vya maelezo, usaidizi, na huduma vinavyopatikana kutoka Epson Singapore ni:
Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), Maswali Kuhusu Uuzaji, na Msaada wa Kiufundi kupitia barua pepe unapatikana.
Bila Malipo: 800-120-5564
Timu yetu ya Eneo la Msaada inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu:
Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa
Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa kifaa
Maswali kuhusu huduma ya ukarabati na udhamini