> Kutatua Matatizo > Ubora wa Uchapishaji Uko Chini > Mkao, Ukubwa, au Pambizo za Uchapishaji Sio Sahihi

Mkao, Ukubwa, au Pambizo za Uchapishaji Sio Sahihi

Sababu zifuatazo zinaweza kuzingatiwa.

Karatasi imepakiwa visivyo.

Suluhisho

Weka karatasi ikiwa inaangalia upande unaofaa, na telezesha mwongozo wa kingo kando ya kingo ya karatasi.

Ukubwa wa karatasi haujawekwa ipasavyo.

Suluhisho

Teua mpangilio wa ukubwa wa karatasi unaofaa.

Mpangilio wa pambizo katika programu hauko katika sehemu ya uchapishaji.

Suluhisho

Rekebisha mpangilio wa pambizo katika programu ili iingie katika sehemu inayoweza kuchapishwa.