Vipimo vya Wi-Fi

Viwango

IEEE 802.11b/g/n*1

Masafa ya Mawimbi

2.4 GHz

Modi za Uratibu

Miundomsingi, Wi-Fi Direct (AP Rahisi)*2*3

Usalama Pasiwaya*4

WEP (64/128bit), WPA2-PSK (AES)*5, WPA3-SAE (AES)

*1 IEEE 802.11n inapatikana tu kwa HT20.

*2 Haiauniwi kwa IEEE 802.11b.

*3 Modi ya AP Rahisi ni tangamani na muunganisho wa Wi-Fi (miundomsingi).

*4 Wi-Fi Direct huauni WPA2-PSK (AES) pekee.

*5 Hufuata viwango vya WPA2 kwa usaidizi kwa WPA/WPA2 wa Kibinafsi.