> Mahali pa Kupata Msaada > Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson > Msaada kwa Watumiaji Nchini Indonesia

Msaada kwa Watumiaji Nchini Indonesia

Anwani za kupata maelezo, usaidizi, na huduma ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.co.id

  • Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua

  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), Maswali kuhusu Uuzaji, maswali kupitia barua pepe

Simu ya Moja kwa Moja ya Epson

Simu: 1500-766 (Indonesia Only)

Barua pepe: customer.care@ein.epson.co.id

Timu yetu ya Nambari ya Usaidizi inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu au baruapepe:

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Usaidizi wa kiufundi