>
Katika Hali Hizi >
Kuunganisha Kifaa Maizi na Kichapishi Moja kwa Moja (Wi-Fi Direct)
Kuunganisha Kifaa Maizi na Kichapishi Moja kwa Moja (Wi-Fi Direct)
Wi-Fi Direct (AP Rahisi) hukuruhusu kuunganisha mifaa maizi moja kwa moja kwenye kichapishi bila kipanga njia pasiwaya na kuchapisha kutoka kifaa maizi.