Unaweza kuboresha uonekanaji wa matini na picha kwenye machapisho.

Chapisho Lote la Rangi kinapatikana tu mipangilio ifuatayo inapoteuliwa.
Aina ya Krtasi: Karatasi tupu, Letterhead
Ubora: Wastani au ubora wa juu
Rangi: Rangi
Programu: Microsoft® Office 2007 au baadaye
Ukubwa wa Matini: alama 96 au kidogo
Fikia kiendeshi cha printa, na kisha weka mipangilio ifuatayo.
Kichupo cha Chaguo Zaidi > Usahihishaji wa Rangi > Chaguo za Taswira > Chapisho Lote la Rangi