Usiingize vitu ndani ya printa kupitia sloti.
Usiingize mkono wako ndani ya printa wakati wa uchapishaji.
Usiguse kebo tambarare nyeupe na mirija ya wino iliyo ndani ya printa.
Usitumie bidhaa za erosoli zilizo na gesi zinazoweza kuwaka moto ndani au kando ya printa. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha moto.
Usisogeze kichwa cha kuchapisha ukitumia mkono iwapo hujaagizwa kufanya hivyo; la sivyo, unaweza kuharibu kichapishi.
Ikiwa matango yoyote ya wino hayajaa hadi mstari wanchini, jaza wino upya.Kuendelea kutumia printa kwa muda mrefu wakati kiwango cha wino kiko chini ya laini ya chini kunaweza kuharibu printa.
Kuwa ukizima printa ukitumia kitufe cha
. Usichomoe printa au kuzima nishati katika sokei hadi taa ya
iwache kumwekamweka.
Ikiwa hutatumia printa kwa muda mrefu, hakikisha kuchomoa waya ya nishati kutoka kwa soketi ya stima.