> Maelezo ya Bidhaa > Taarifa ya Bidhaa Tumika > Msimbo wa Rola Za Kuchukua

Msimbo wa Rola Za Kuchukua

Epson inapendekeza utumie rola halali za kuchukua za Epson.

Ifuatayo ni misimbo.

Kwa kutumiwa kwa nchi zote isipokuwa India, Bangladesh, Bhutan, Maldives, Sri Lanka na Nepali

Pickup Roller: C12C937771

Kwa kutumiwa India, Bangladesh, Bhutan, Maldives, Sri Lanka na Nepali

Pickup Roller: C12C937781

Kumbuka:
  • Wasiliana na Usaidizi wa Epson ili upate rola yako mpya ya kuchukua.

  • Kudumu kwa rola ya kuchukua ni kurasa 50000 ya kuchapisha kwa kutumia ukubwa wa A4 wa karatasi wazi au miaka 5, chochote kitakacho kuja cha kwanza. Idadi ya kurasa ni thamani ya marejeleo. Inatofautiana kulingana na mazingira ya uchapishaji na mipangilio ya uchapishaji kama vile aina ya karatasi, ukubwa wa karatasi, chaguo la kuchapisha bila mpaka na thamani halisi huenda ikakuwa ndogo zaidi kuliko thamani hii ya marejeleo.

    Pia, kudumu kunatofautiana kati ya unapotumia karatasi halali ya Epson na wakati unatumia karatasi isiyo halali,