> Katika Hali Hizi > Kuwuka Upya Muunganisho wa Mtandao > Kuweka Mipangilio ya Kuunganisha Kompyuta

Kuweka Mipangilio ya Kuunganisha Kompyuta

Unaweza kuendesha kisakinishaji kwa kutumia mbinu zifuatazo.

Kusanidi kutoka kwenye tovuti

Fikia tovuti ifuatayo, kisha uingize jina la bidhaa. Nenda kwenye Mpangilio, na kisha uanze kusanidi.

https://epson.sn

Pia unaweza kutazama taratibu katika M'ozo Video Mt'ni. Fikia tovuti inayofuata.

https://support.epson.net/publist/vlink.php?code=NPD6870

Kusanidi ukitumia diski ya programu

Ikiwa printa yako ilikuja na diski ya programu na unatumia kompyuta ya Windows iliyo na kiendeshi cha diski, ingiza diski kwenye kompyuta, halafu ufuate maagizo kwenye skrini.