Iwapo utaombwa kuingiza nenosiri la msimamizi unapotekeleza operesheni zifuatazo, ingiza nenosiri la msimamizi lililowekwa kwenye kichapishi.
Unaposasisha maunzi ya kichapishi kutoka kwenye kompyuta au kifaa maizi
Unapoingia kwenye mipangilio mahiri ya Web Config
Unaposanidi kwa kutumia programu-tumizi inayoweza kubadilisha mipangilio ya kichapishi