Pakia bahasha kwenye kichapishi.
Fungua faili unayotaka kuchapisha.
Fikia dirisha la kiendeshi cha kichapishi.
Teua ukubwa wa bahasha kutoka Ukubwa wa Waraka kwenye kichupo cha Kuu kisha uteue Bahasha kutoka Aina ya Krtasi.
Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.
Bofya Chapisha.