> Kutatua Matatizo > Ubora wa Uchapishaji Uko Chini > Haiwezi Kuchapisha Bila Pambizo

Haiwezi Kuchapisha Bila Pambizo

Hujaweka mipangilio ya uchapishaji usio na mpaka.

Suluhisho

Weka mpangilio wa uchapishaji usio na mpaka katika mipangilio ya kichapishi. Ukiteua aina ya karatasi isiyotumia uchapishaji usio na mpakaы, huwezi kuteua Isiyo na kingo. Teua aina ya karatasi inayotumia uchapishaji usio na mpaka.

  • Windows

    Teua Isiyo na kingo kwenye kichupo cha Kuu cha kiendeshi cha kichapishi.

  • Mac OS

    Chagua ukubwa wa karatasi usio na mpaka kutoka Ukbwa wa Krtasi.