|
Ujumbe |
Suluhisho |
|---|---|
|
The Wi-Fi environment needs to be improved. Turn the wireless router off and then turn it on. If the connection does not improve, see the documentation for the wireless router. |
Baada ya kusogeza kichapishi karibu na kipanga njia pasiwaya na kuondoa vizuizi vyovyote kati yake, zima kipanga njia pasiwaya. Subiri kwa karibu sekunde 10, na kisha uiwashe. Endapo bado haitaunganishwa, angalia waraka ulioletwa pamoja na kipanga njia pasiwaya. |
|
*No more devices can be connected. Disconnect one of the connected devices if you want to add another one. |
Kompyuta na vifaa maizi vinavyoweza kuunganishwa kwa wakati mmoja vimeunganishwa kwenye muunganisho kamili wa Wi-Fi Direct (AP Rahisi). Ili kuongeza kompyuta nyingine au kifaa maizi, kata muunganisho wa mojawapo ya vifaa vilivyounganishwa au kiunganishe kwenye mtandao mwingine kwanza. Unaweza kuthibitisha idadi ya vifaa pasiwaya vinavyoweza kuunganishwa kwa wakati mmmoja na idadi ya vifaa vilivyounganishwa kwa kuangalia laha la hali ya mtandao. |