Unaweza kuchapisha kadi asili za ujumbe kwa urahisi kwa kutumia picha iliyo kwenye kifaa chako cha kumbukumbu.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.
Teua Vifaa vya kuandikia > Kadi ya Ujumbe.
Teua nafasi ya picha.
Teua
katika sehemu ya juu kulia ili kubadilisha aina au rangi ya mistari mlalo.
Teua picha unayotaka kuweka.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua Sawa.
Teua
.
Teua picha unayotaka kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha, na kisha uteue Imefanyika.
Teua Mwonekano Mmoja, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Teua Ifuatayo.
Ingiza idadi ya nakala, na kisha udonoe
.