Hunakili kurasa mbili za A4 zinazoangaliana za kitabu nakadhalika kwenye laha moja la karatasi.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.
Teua Nakala mbalimbali > Nakala ya kitabu.
Weka nakala za kwanza.
Fuata maelekezo kwenye skrini ili uweke ukurasa wa kwanza wa nakala asili kisha udonoe Mipangilio ya Kuchapisha.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri, na kisha ubadilishe mipangilio kama inavyohitajika.
Ukiteua 2-juu katika Kurasa Nyingi, unaweza kuchapisha kurasa mbili zinazotazamana za kitabu kwenye upande mmoja wa karatasi.
Chagua kichupio cha Nakili.
Donoa
.
Iwapo utadonoa Hakiki, unaweza kuangalia taswira zilizotambazwa.
Fuata maelezo kwenye skrini kuweka ukurasa wa pili wa nakala asili kisha udonoe Anza Kutambaza.
Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.