Fuata hatua zilizo hapa chini ili kusajili kichapishi.
Teua Mipangilio kwenye paneli dhibiti.
Teua Mipangilio ya Huduma ya Wavuti > Hdma za Kuunginsha Epson > Sajili > Anza Kusanidi ili kuchapisha laha la usajili.
Fuata maagizo kwenye laha la usajili ili kusajili kichapishi.