> Kuchapisha > Kuchapisha Vipengee Mbalimbali > Ratiba ya Kuchapisha

Ratiba ya Kuchapisha

Unaweza kuchapusha rahisi ratiba ya Kila mwezi, Kila wiki, au Kila siku.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kuweka Karatasi

  2. Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.

  3. Teua Vifaa vya kuandikia > Ratiba.

  4. Teua aina ya ratiba.

  5. Unapoteua Kila mwezi au Kila siku, weka tarehe, na kisha uteue Sawa.

  6. Unda mipangilio ya karatasi.

  7. Ingiza idadi ya nakala, na kisha udonoe .