Unaweza kuchapisha kalenda asili iliyo na picha kwa urahisi kutoka kwa kifaa cha kumbukumbu.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.
Teua Vifaa vya kuandikia > Kalenda.
Teua aina ya kalenda.
Weka mwaka na mwezi, na kisha uteue Sawa.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua Sawa.
Teua
.
Teua picha unayotaka kuchapisha kwenye skrini ya kuteua picha, na kisha uteue Imefanyika.
Teua Mwonekano Mmoja, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Teua Ifuatayo.
Ingiza idadi ya nakala, na kisha udonoe
.