Chaguo za Kina kwa Utambazaji kwenye Kifaa cha Kumbukumbu
Mipangilio ya Utambazaji
Ukubwa wa Kutambaza:
Teua ukubwa wa kutambaza. Ili kupuna nafasi nyeupe kwenye matini au taswira unapotambaza, teua Upunuaji Otomatiki. Ili kutambaza katika eneo kubwa la glasi ya kichanganuzi, teua Upeo wa Eneo.
Mwelekeo wa Hati:
Teua mwelekeo wa nakala asili.
Ulinganuzi
Teua ulinganuzi wa taswira iliyotambazwa.
Chagua kifaa cha kumbukumbu
Teua kifaa cha kumbukumbu unachotaka kuhifadhi taswira iliyotambazwa.
Ondoa Mipangilio Yote
Rejesha mipangilio ya kutambaza kuwa chaguomsingi.