Epson
 

    ET-8550 Series L8180 Series

    Mwongozo wa Mtumiaji

    > Maelezo ya Bidhaa > Maelezo ya Programu

    Maelezo ya Programu

    Sehemu hii hutambulisha huduma za mtandao na bidhaa za programu zinazopatikana kwa kichapishi chako kutoka kwenye tovuti ya Epson.

    • Programu ya Kuchapisha

      • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Windows)

      • Programu ya Kuchapisha kutoka katika Kompyuta (Kiendeshi cha Kichapishi cha Mac OS)

      • Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)

      • Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)

      • Programu ya Kufurahia Uchapishaji wa Picha Anuwai (Epson Creative Print)

      • Programu ya Kuchapisha kwa Urahisi kutoka katika Programu ya Android (Epson Print Enabler)

    • Programu ya Utambazaji

      • Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)

    • Programu ya Kuweka Mipangilio

      • Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)

      • Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)

    • Programu ya Kusasisha

      • Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (EPSON Software Updater)

    Chapisha Kurasa zilizochaguliwa

    © 2023 Seiko Epson Corp.