> Kuchapisha > Kuchapisha Vipengee Mbalimbali > Kuchapisha Kitabu cha Rangi Ukitumia Picha

Kuchapisha Kitabu cha Rangi Ukitumia Picha

Unaweza kuchapisha picha kwa kuopoa muhtasari wa picha au ufafanuzi. Hii kuhuruhusu kuunda vitabu vya kipekee vya rangi.

Kumbuka:

Isipokuwa vikitumiwa kwa matumizi ya binafsi (nyumbani au maeneo mengine yaliyozuiwa), unahitaji kibali kutoka kwa mmilikiwa hakimiliki unapotumia nakala asili ya hakimiliki iliyolindwa ili kuunda kitabu cha rangi.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kuweka Karatasi

  2. Iwapo unatakaa kutumia picha kwenye kifaa cha kumbukumbu, chomeka kifaa kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.

    Kuchomeka na Kuondoa Kadi ya Kumbukumbu

    Kuchomeka na Kuondoa Kifaa cha Nje cha USB

  3. Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.

  4. Teua Kitabu cha Kupaka Rangi.

  5. Fanya moja kati ya zifuatazo.

    • Unapoteua Tambaza hati asili: weka mipangilio ya uchapishaji kisha uweke nakala asili kwenye glasi ya kichanganuzi. Donoa .
    • Unapoteua Chagua kutoka kwenye kadi ya kumbukumbu: ukionyeshwa ujumbe unaokufahamisha kwamba kimemaliza kupakia picha, teua Sawa. Teua picha unayotaka kuchapisha, na kisha uteue Ifuatayo. Weka mipangilio kwenye kichupo cha Mipangilio Msingi kisha uchague kichupo cha Mipangilio Mahiri kisha ubadlishe mipangilio ikiwa muhimu. Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha udonoe .