> Kuchapisha > Kuchapisha Vipengee Mbalimbali > Kuchapisha Karatasi yenye Mstari

Kuchapisha Karatasi yenye Mstari

Unaweza kuchapisha baadhi ya aina za karatasi yenye mistari, karatasi ya grafu, au karatasi ya muzziki na uunde yako mwenyewe, daftari au jani-huru.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kuweka Karatasi

  2. Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.

  3. Teua Vifaa vya kuandikia > Karatasi yenye mistari.

  4. Teua aina ya mstari.

  5. Unda mipangilio ya karatasi.

  6. Ingiza idadi ya nakala, na kisha udonoe .