Unaweza kukagua maelezo ya kina ya mtandao kwa kuyachapisha.
Pakia karatasi.
Donoa Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Donoa Mipangilio ya Mtandao > Hali ya Mtandao.
Donoa Chapisha Karatasi ya Hali.
Angalia ujumbe, na kisha uchapishe karatasi ya hali ya mtandao.
Donoa Funga.