Kuweka Karatasi

Ona uhuishaji unaoonyeshwa kwenye skrini ya LCD ya kichapishi ili kupakia karatasi, bahasha, au picha nene ya karatasi.

Teua , kisha uteue Jinsi ya > Pakia karatasi. Teua aina ya karatasi na chanzo cha karatasi unachotaka kutumia kuonyesha uhuishaji. Teua Maliza ili kufunga skirini ya uhuishaji.