Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Vitendaji vya Mwongozo
Vitendaji vya Mwongozo
Karatasi Hailingani
Huonyesha tahadhari iwapo mipangilio ya karatasi (mipangilio ya chapisho) ya kazi ya chapishohailingani na mipangilio ya karatasi ya kichapishi iliyoundwa ulipopakia karatasi. Mpangilio huu huzuia uchapishaji usiofaa.
Modi ya Uteuzi Otomatiki
Wakati yoyote kati ya operesheni zinatelezwa, menyu zinazofaa zinaonyeshwa.
Kadi ya kumbukumbu imechomekwa.
Kumbukumbu ya USB inachomekwa.
Mipangilio yote
Huwezesha au kulemaza utendaji wote wa mwongozo.
Ondoa Mipangilio Yote
Huweka upyamipangilio ya Vitendaji vya Mwongozo kwa chaguo-msingi zake.