Unaweza kuchapisha picha kwenye jaketi ya kasha la kito kwa urahisi kutumia picha iliyo kwenye kifaa chako cha kumbukumbu. Chapisha jaketi kwenye karatasi ya ukubwa wa A4, na kisha uikate ili kuitosheleza kwenye kasha la kito.

Pakia karatasi katika kichapishi.
Chomeka kifaa cha kumbukumbu kwenye sloti ya kadi ya SD au kiweko cha USB cha kiolesura cha nje cha kichapishi.
Teua Chapa mbalimbali kwenye paneli dhibiti.
Teua Nakili kwenye CD/DVD > Chapisha kwenye Kasha la johari.
Teua mpangilio.
Wakati ujumbe unaokuambia kuwa kupakia picha kumekamilika unaonyeshwa, teua Sawa.
Fanya moja kati ya zifuatazo.
, teua picha moja kwenye skrini ya picha, kisha uteue Imefanyika. Teua Ifuatayo.
Teua Mwonekano Mmoja, kisha uteue
ili kuhariri picha ikiwa ni muhimu.
Weka mipangilio kwenye kichupo cha Mipangilio Msingi.
Teua kichupo cha Mipangilio Mahiri kisha ubadilishe mipangilio inavyohitajika.
Teua kichupo cha Mipangilio Msingi, na kisha udonoe
.