> Kukarabati Kichapishi > Kuboresha Ubora wa Uchapishaji, Nakala na Utambazaji > Kusafisha Njia ya Karatasi kwa Kupaka Wino (wakati Nyuma ya Matokeo ya Kichapishaji ni Chafu)

Kusafisha Njia ya Karatasi kwa Kupaka Wino (wakati Nyuma ya Matokeo ya Kichapishaji ni Chafu)

  1. Zima kichapishi kwa kubonyeza kitufe cha .

  2. Funga kifuniko cha waraka iwako kiko wazi.

  3. Fungua kitengo cha kitambazaji kwa mikono miwili hadi kijifunge.

  4. Tumia pamba ili kupangusa wino kwenye sehemu za ndani ya kichapishaji zilizoonyeshwa kwenye kielelezo kifuatacho.

    Muhimu:
    • Usitumie karatasi ya shashi kusafisha ndani ya kichapishi. Nozeli za kichwa cha kushapisha zinaweza kuzibwa na nyuzi za pamba.

    • Usiguse sehemu iliyoonyeshwa kwenye kielelezo kifuatacho. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha hitalifu.

  5. Funga kitengo cha kitambazaji.

    Kumbuka:

    Kitengo cha kitambazaji kimeundwa ili kufunga taratibu na kukataa kidogo kama kuzuia vidole vyako kukamatwa. Endelea kufunga hata ikiwa unahisi inakataa kidogo.