Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Mipangilio > Matengenezo
Matengenezo
Ukaguaji Nozeli
Teua kipengele hiki ili iangalie kama nozeli za kichwa cha kuchapisha zimeziba.Kichapishi huchapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.
Usafishaji Kichwa
Teua kipengele hiki ili kusafisha nozeli zilizoziba katika kichwa cha kuchapisha.
Usafishaji Wino kwa Nishati
Huduma ya Usafishaji Wino kwa Nishati hukuwezesha kubadilisha wino wote ulio ndani ya tubu za wino.
Ulainishaji Kichwa
Upangiliaji Wima
Teua kipengele hiki iwapo machapisho yako yataonekana yakiwa na ukungu au maandishi na mistari hailingani.
Upangiliaji Kimlalo
Teua kipengele hiki iwapo bendi ya mlalo itaonekana kwa vipindi vya kila mara kwenye machapisho yako.
Jaza Wino
Teua kipengele hiki ili uweke upya viwango vya wino kwa 100% unapojaza tanki la wino.
Weka Kiwango cha wino
Teua kipengele hiki ili uweke kiwango cha wino kulingana na wino halisi unaosalia.
Uwezo unaosalia wa Kikasha Matengenezo
Huonyesha takriban ya maisha ya huduma ya kisanduku cha ukarabati. Wakati inaonyeshwa, kisanduku cha matengenezo kinakaribia kujaa. Wakati inaonyeshwa, kisanduku cha ukarabati kimejaa.
Usfshaji Mwongzo wa Krtasi
Teua kipengele hiki iwapo kuna madoa ya wino kwenye rola za ndani.Kichapishi huingiza karatasi ili kusafisha rola za ndani.