> Kunakili > Kunakili Nakala Asili

Kunakili Nakala Asili

Sehemu inafafanua hatua za kunakili nakala asili.

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Pakia Karatasi katika Mlisho wa Nyuma wa Karatasi

  2. Weka nakala za kwanza.

    Iwapo unataka kunakili nakala asili nyingi, weka nakala zote asili kwenye ADF.

    Kuweka Nakala Asili kwenye Glasi ya Kitambazaji

    Kuweka Nakala Asili kwenye ADF

  3. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  4. Teua Ny'i&N'pe.

  5. Weka idadi ya nakala kama inahitajika.

  6. Bonyeza kitufe cha .

    Kumbuka:

    Rangi, ukubwa, na ukingo wa taswira iliyonakiliwa ni tofauti kiasi kutoka kwenye nakala asili.