| Huduma za Epson Connect: | ||||
| Sajili/Futa |
Sajili au ufute kichapishi kwa au kutoka kwenye huduma za Epson Connect. Kwa miongozo ya matumizi, tazama tovuti ifuatayo ya kituo. http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake) |
|||
| Sitisha/Endelea |
Teua iwapo utasitisha au kuendelea na huduma za Epson Connect. |
|||
| Anwani ya Barua pepe |
Angalia anwani ya barua pepe ya kichapishi iliyosajiliwa kwenye huduma za Epson Connect. |
|||
| Hali |
Angalia iwapo kichapishi kimesajiliwa na kuunganishwa kwenye huduma za Epson Connect au la. |
|||