> Kuchapisha > Kuchapisha Kuarasa za Tovuti > Kuchapisha Kurasa za Tovuti kutoka Kompyuta

Kuchapisha Kurasa za Tovuti kutoka Kompyuta

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda wa Karatasi

  2. Teua mbinu ya uchapishaji kutoka kwenye E-Web Print Toolbar.

    • Print: chapisha ukurasa mzima wa wavuti ili kutoshea kwenye karatasi.
    • Clip: chapisha tu eneo uliloteua.
  3. Weka mipangilio ya kuchapisha, na kisha ubofye Print.