Maelezo yanachapishwa pamoja na ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.
Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.
Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Ukaguaji Nozeli.
Fuata maelekezo yaliyo kwenye skrini kuchapisha ruwaza ya kukagua nozeli.