Wakati kipanga njia pasiwaya kimeunganishwa kwenye mtandao mmoja na kichapishi, unaweza kuendesha kichapishi kupitia kipanga njia pasiwaya kutoka kwenye kifaa chako maizi.
Unapobadilisha kipanga njia pasiwaya, weka mipangilio ya muunganisho kati ya kompyuta au kifaa maizi na kichapishi.
Unahitaji kuunda mipangilio hii iwapo utabadilisha mtoa huduma wako wa Intaneti nakadhalika.