Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi).
Bofya +, na kisha uteue Ongeza Kichapishi na Kitambazaji Kingine.
Teua kichapishi chako, na kisha ubofye Ongeza.
Iwapo kichapishi hakijaorodheshwa, thibitisha kuwa kimeunganishwa sahihi kwenye kompyuta na kuwa kichapishi kimewashwa.