Unaweza kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao ili kuangalia hali ya kichapishi.
Pakia karatasi.
Teua Mipangilio kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.
Teua Ripoti > Mtandao.
Ukaguzi wa muunganisho unaanza.
Bonyeza kitufe cha
.
Fuata maagizo kwenye skrini ya kichapishi ili kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao.
Iwapo kosa limetokea, angalia ripoti ya muunganisho, na kisha ufuate suluhisho zilizochapishwa.
Bonyeza kitufe cha OK.