Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.
Teua iwapo utasitisha au kuendelea na huduma za Google Cloud Print.
Usisajili huduma za Google Cloud Print.
Angalia iwapo kichapishi kimesajiliwa na kuunganishwa kwenye huduma za Google Cloud Print au la.
Kwa usajili na miongozo ya matumizi, tazama tovuti ifuatayo ya kituo.
http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)