Karatasi Halali ya Epson

Epson inapendekeza utumie karatasi halali ya Epson ili kuhakikisha uchapishaji wa hali ya juu.

Kumbuka:
  • Upatikanaji wa karatasi unategemea eneo. Kwa maekezo mapya kuhusu karatasi inayopatikana katika eneo lako, wasiliana na usaidizi wa Epson.

  • Angalia yafuatayo kwa maelezo kuhusu aina za karatasi zinazopatikana kwa uchapishaji wa pande 2.

    Karatasi la Kuchapishwa Upande 2

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Bright White Ink Jet Paper

A4

120

Karatasi inayofaa kwa kuchapisha nyaraka na picha

Jina la Midia

Ukubwa

Uwezo wa Kupakia (Laha)

Epson Photo Quality Ink Jet Paper

A4

100

Epson Matte Paper-Heavyweight

A4

20

Epson Double-Sided Matte Paper

A4

1