Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Kuchapisha

Media Type

Teua aina ya karatasi unayochapisha.

Print Quality

Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji. Chaguo zinatofautiana kulinagana na aina ya karatasi.

Mipangilio Mahiri

Hurekebisha ung’avu na ulinganishaji wa taswira.