Usiingize vitu ndani ya printa kupitia sloti.
Usiingize mkono wako ndani ya printa wakati wa uchapishaji.
Usiguse kebo tambarare nyeupe iliyo ndani ya printa.
Usitumie bidhaa za erosoli zilizo na gesi zinazoweza kuwaka moto ndani au kando ya printa. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha moto.
Usisogeze kichwa cha kuchapisha ukitumia mkono iwapo hujaagizwa kufanya hivyo; la sivyo, unaweza kuharibu kichapishi.
Chunga vidole vyako visikwame wakati unafunga kitengo cha kitambazo.
Usibane glasi ya kichanganuzi na nguvu wakati wa kuweka nakala za kwanza.
Ikiwa matangi ya wino hayajaa hadi mstari wa chini, jaza wino upya.Kuendelea kutumia kichapishi wakati kiwango cha wino kiko chini ya laini ya chini katika tangi kunaweza kuharibu kichapishi.
Kuwa ukizima printa ukitumia kitufe cha
. Usichomoe printa au kuzima nishati katika sokei hadi taa ya
iwache kumwekamweka.
Ikiwa hutatumia printa kwa muda mrefu, hakikisha kuchomoa waya ya nishati kutoka kwa soketi ya stima.