Mipangilio ya Mtandao

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Mipangilio ya Mtandao

Karatasi ya Hali ya hapa:

Huchapisha laha la hali ya mtandao.

Usanidi wa Wi-Fi:

Sanidi au badilisha mipangilio ya mtandao wa pasi waya. Chagua mbinu ya muunganisho kutoka kwa zifuatazo na kisha ufuate maagizo kwenye paneli dhibiti.

Wi-Fi (Inapendekezwa):
  • Kisogora cha Usanidi wa Wi-Fi

  • Kitufe cha Msukumo (WPS)

  • Nyingine

    • Msimbo wa PIN (WPS)

    • M'sho Oto Wi-Fi

    • Lemaza Wi-Fi

      Unaweza kutatua matatizo ya mtandao kwa kulemaza mipangilio ya Wi-Fi au kuweka mipangilio ya Wi-Fi tena. Teua Usanidi wa Wi-Fi > Wi-Fi (Inapendekezwa) > Nyingine > Lemaza Wi-Fi > OK.

Wi-Fi Direct:
  • iOS

  • Android

  • Vifaa Vingine vya OS

  • Rekebisha

    • Badilisha Jina Mtandao

    • Badilisha Nywila

    • Lemaza Wi-Fi Direct

    • Rejesha Mipangilio Msingi

Ukaguzi wa Muunganisho:

Huangalia muunganisho wa mtandao wa sasa na kuchapisha ripoti. Ikiwa kuna matatizo yoyote ya muunganisho, kagua ripoti ili utatue tatizo.