Ili kuingiza vibambo na ishara za mipangilio ya mtandao kutoka kwenye paneli dhibiti, tumia vitufe vya
,
,
, na
na kibodi ya programu kwenye skrini ya LCD. Bonyeza kitufe cha
,
,
, au
ili kuangazisha kitufe cha kibambo au kitendaji kwenye kibodi, na kisha ubonyeze kitufe cha OK. Unapokamilisha kuingiza vibambo, teua OK, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

|
Kitufe cha kitendaji |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
|
Husogeza kishale upande wa kushoto au kulia. |
|
A 1 # |
Hubadilisha aina ya kibambo. Unaweza kuingiza herufi na tarakimu na ishara. Pia unaweza kuzibadili kwa kutumia kitufe cha |
![]() |
Huingiza nafasi. |
![]() |
Hufuta kibambo upande wa kushoto (nafasi nyuma). |
|
OK |
Huingiza vibambo vilivyoteuliwa. |