Kuchapisha Misimbo ya Mwambaa Wazi

Unaweza kuchapisha msimbo wa mwambaa vizuri zaidi na kuurahisisha kutambazwa. Wezesha tu kipengele hiki iwapo msimbo wa mwambaa uliouchapisha hauwezi kutambazwa.

Unaweza kutumia kipengele hiki chini ya hali zifuatazo.

  • Karatasi: Karatasi tupu, Karatasi la nakala, Karataei tupu la ubora wa juu, au Bahasha

  • Ubora: Wastani

  1. Pakia karatasi katika kichapishi.

    Kupakia Karatasi katika Mkanda wa Karatasi

  2. Fungua faili unayotaka kuchapisha.

  3. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  4. Bofya Mipangilio Iliyorefushwa kwenye kichupo cha Utunzaji, na kisha uchague Modi ya Msimbo upau.

  5. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

    Kichupo cha Kuu

    Kichupo cha Chaguo Zaidi

  6. Bofya Chapisha.

    Kumbuka:

    Huenda upunguzaji usiwezekane kulingana na hali.