Jaribu utaratibu huu iwapo tayari kichapishi kimeunganishwa kwenye kompyuta kupitia Wi-Fi, lakini unataka kubadilisha njia ya muunganisho hadi muunganisho wa Ethaneti.
Lemaza Wi-Fi kwenye kidirisha cha kudhibiti cha kichapishi.
Unganisha kichapishi kwenye kitovu kutumia kebo ya Ethaneti.