> Mwongozo wa Paneli Dhibiti > Usanidi wa Skrini ya Menyu

Usanidi wa Skrini ya Menyu

Hukurudisha kwenye skrini ya awali.

Hubadili orodha ya mipangilio kutumia vichupo. Kichupo Mipangilio Mahiri huonyesha vipengee vingine unavyoweza kuweka kama muhimu.

Huonyesha orodha ya vipengee vya mpangilio. Wakati imeonyeshwa, unaweza kutazama maelezo zaidi kwa kuteua aikoni. Unda mipangilio kwa kuteua kipengee au kuongeza alama ya ukaguzi.

Vipengee vya rangi ya kijivu havipatikani. Teua kipengee ili kukagua mbona hakipatikani.

Iwapo tatizo lolote litatokea, inaonyeshwa kwenye bidhaa. Teua ikoni ili kuangalia jinsi ya kutatua tatizo.

Huanza operesheni kwa kutumia mipangilio ya sasa. Vipengee vinatofautiana kulingana na menyu.

Nakala

Huonyesha kipadi kwenye skrini na kukuruhusu kuweka idadi ya nakala.

Hakiki

Huonyesha onyesho la ukaguzi la taswira kabla ya kuchapisha, kutambaza au kutuma faksi.

Huanza kuchapisha, kunakili, kutambaza au kutuma faksi.