Vipengee vya Mpangilio wa Mafikio

Vipengee

Mipangilio na Ufafanuzi

Mipangilio ya Kawaida

Name

Ingiza jina linaloonyeshwa kwenye waasiliani katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Index Word

Ingiza maneo ya kutafuita katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Type

Teua aina ya anwani unayotaka kusajili.

Assign to Frequent Use

Kipengee hiki kimeonyeshwa kwenye skrini ya Web Config lakini hakipatikani kwa kichapishi hiki.

Fax

Fax Number

Ingiza kati ya vibambo 1 hadi 64 kwa kutumia 0–9 - * # na nafasi.

Fax Speed

Teua kasi ya mawasiliano kwa mafikio.

Email

Email Address

Ingiza kati ya vibambo 1 na 255 ukitumia A–Z a–z 0–9 ! # $ % & ' * + - . / = ? ^ _ { | } ~ @.

Network Folder (SMB)

Save to

\\“Folder path”

Weka mahali ambapo kabarasha lengwa ipo kati ya vibambo 1 na 253 kwenye Msimbosare (UTF-8), bila kujumuisha “\\”.

User Name

Ingiza jina la mtumiaji ili kufikia folda ya mtandao katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F).

Password

Ingiza nenosiri ili kufikia folda ya mtandao katika vibambo 20 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F).

FTP

Save to

Ingiza jina la seva kati ya vibambo 1 na 253 katika ASCII (0x20–0x7E), bila kujumuisha“ftp://”.

User Name

Ingiza jina la mtumiaji ili kufikia seva ya FTP katika vibambo 30 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F). Iwapo seva inaruhusu muunganisho usiojulikana, ingiza jina kana Lisilojulikana na FTP. Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Password

Ingiza nenosiri ili kufikia seva ya FTP katika vibambo 20 au chini kwenye Msimbosare (UTF-8). Hata hivyo, epuka kutumia vibambo vya udhibiti (0x00–0x1F, 0x7F). Iwapo hutabainisha hili, iache wazi.

Connection Mode

Teua modi ya muunganisho kutoka kwenye menyu. Iwapo programu dhibiti imewekwa kati ya kichapishi na seva ya FTP, teua Passive Mode.

Port Number

Ingiza nambari ya kiuto cha seva cha FTP kati ya 1 na 65535.