> Maelezo ya Msimamizi > MMipangilio ya Kutumia Kichapishi > KuwekKuweka Mipangilio Msingi ya Utendakazi kwa ajili ya Kichapishi > Kuweka Thamani Chaguo-msingi kwa Utambazaji, Kunakili, na Kutuma faksi (Mipangilio Chaguo-msingi ya Mtumiaji)

Kuweka Thamani Chaguo-msingi kwa Utambazaji, Kunakili, na Kutuma faksi (Mipangilio Chaguo-msingi ya Mtumiaji)

Unaweza kuweka thamani chaguo-msingi kwa ajili ya utendakazi ufuatao.

  • Scan to Network Folder/FTP

  • Scan to Email

  • Scan to Cloud

  • Copy

  • Fax

  1. Fikia Web Config na uteue utendakazi unaotaka kuweka thamani chaguomsingi yake katika kichupo cha Scan/Copy > User Default Settings.

    Teua kichupo cha Fax > User Default Settings ili kuweka thamani chaguomsingi ya faksi.

  2. Teua kila kipengee.

  3. Bofya OK.

    Iwapo ujumuishaji wa thamani si sahihi, inabadilishwa kiotomatiki na kisha thamani sahihi inawekwa.