Kutumia Kushiriki Mtandao wa Microsoft

Unapouwezesha, yafuatayo yanaweza kutokea.

  • Hushiriki uhifadhi wa USB kupitia mtandao ambao umeunganishwa kwenye kichapishi.

  • Husambaza matokeo ya utambazaji kwenye kabrasha iliyoshirikiwa kwenye kompyuta.

  1. Fikia Web Config na uteue kihupo cha Network > MS Network.

  2. Teua Use Microsoft network sharing.

  3. Teua kila kipengee.

  4. Bofya Next.

  5. Thibitisha mipangilio, na kisha ubofye OK.

  6. Ingiza kifuatacho kwenye kichunguzi cha kompyuta, na kisha ubonyeze kitufe cha Enter.

    Angalia iwapo kuna kabrasha la mtandao na kuwa unaweza kulifikia.

    \\Anwani ya IP ya Kichapishi

    Mfano: \\192.0.2.111